Tayari watu zaidi ya 571 wameambukizwa ugonjwa huo huku watu 17 wakipoteza maisha, hii ikiwa ni kutokana na taarifa ya serikali ya China. Kenya tayari imeanza kuchukua tahadhari kwa kuwakagua wasafiri wanaoingia nchini humo kutoka China kupitia viwanja vyake vya ndege. Kuhusu virusi hivyo Amina Aboubakar amezungumza na daktari Aizack Maro.