SiasaKero la biashara haramu ya kusafirisha binadamuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJohn Juma15.12.201715 Desemba 2017Biashara haramu ya usafirishaji binadamu imewaacha wengi katika mateso na hata maafa mabaya. Lakini ni mambo gani hufanya biashara hii kuendelea? Ni kwa nini suluhu kamili haijapatikana? Dex Rugenera anaangazia zaidi masuala hayo na mengine mengi. https://p.dw.com/p/2pRbrMatangazo