1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kikosi cha jeshi la Kenya chawasili Beni

11 Agosti 2021

Katika mpango wa Umoja wa mataifa kuimarisha usalama katika eneo la Beni kwa namna ya pekee na kwa ujumla katika eneo la mashariki ya Congo, kikosi maalumu cha umoja huo kimewapokea wanajeshi toka Kenya ambao wanakwenda kuwalindia usalama wakaazi na kupambana na waasi wanaowauwa raia katika eneo hilo. Isikilize ripoti ya mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka huko.

https://p.dw.com/p/3yqCE