1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinagaubaga : Je, walimu wako salama nchini Kenya?

Michael Kwena28 Januari 2020

Mahojiano ya Kinagaubaga leo yanazungumza na Katibu Mkuu wa Muungano wa walimu nchini Kenya Wilson Sossion kuhusu usalama wa walimu wawapo kazini katika wakati ambapo mfululizo wa mashambulizi ya kigaidi yamewalenga mara kadhaa walimu.

https://p.dw.com/p/3WvJE