1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kinshasa yakumbwa na visa vya utekaji nyara

Jean Baho Noel5 Julai 2023

Wakazi wa Kinshasa wanaishi kwa hofu kufuatia kuzuka kwa visa vya utekaji nyara katika mji huo mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu hivi karibuni. Sikliza ripoti ya kina.

https://p.dw.com/p/4TRYx