1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni - Majina ya Kikoloni kwa ardhi ya wazawa

4 Januari 2024

Katika sehemu ya 5 ya mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´ Bruce Amani Bruce Amani anakufahamisha kwamba wakoloni siyo tu walitumia nguvu pekee kutwaa ardhi za wazawa bali walibadili hata majina ya maeneo muhimu. Mfano ukiwa kilele cha mlima Kilimanjaro, uliopo nchini Tanzania.

https://p.dw.com/p/4arsr