1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaUjerumani

Kivuli cha Ukoloni - Mfahamu Mkameruni aliyeupinga Ukoloni

4 Januari 2024

Katika sehemu ya 7 ya mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika tuliyoipa jina la ´Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani´, Bruce Amani anamwangazia, Quane Martin Dibobe, Mkameruni aliyejaribu kukata minyororo ya udhalilishaji wa kikoloni kwa kuwa mwanaharakati.

https://p.dw.com/p/4arzR