1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kizungumkuti cha Mpango wa BB wa Kenya

24 Novemba 2020

Katika mahojiano ya Kinagaubaga Sudi Mnette anazungumza na aliyewahi kuwa makamo wa Rais wa Kenya Musalia Mudavadi kwa kutaka kujua mbivu na mbichi za mpango huo ambao umezusha mjadala mkubwa katika siasa za Kenya.

https://p.dw.com/p/3llVe