JamiiAfrikaKudorora biashara msimu wa Ramadhani MombasaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika08.04.20228 Aprili 2022Mwezi wa Ramadhani huko Mombasa pwani ya Kenya watu hukutana, huswali na kupata mlo wa pamoja baada ya kufungua ukijulikana kama futari, huo ni utamaduni wa miaka na dahari lakini sasa unaonekana kupungua kutokana na gharama za maisha kupanda.https://p.dw.com/p/49gWdMatangazo