You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Lubega Emmanuel
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Lubega Emmanuel
Taarifa zilizoonesha na Lubega Emmanuel
Biashara Uganda zaathirika na maandamano ya Kenya
Athari hii inashuhudiwa hata kwa watu wa kawaida ambao walikuwa na shughuli kati ya nchi hizo mbili na usafiri.
Mbinu zinazotumiwa kutokomeza Malaria Uganda
Miongoni mwa mbinu zinazotumiwa na Uganda ni mpango wa kunyunyiza viwatilifu vya kuangamiza mbu wanaoeneza Malaria.
Afrika Mashariki inaweza kuwa na viwango sawa vya kodi?
Bunge la EALA limepitisha muswada wa kusawazisha sheria za kodi na ushuru lakini kuna mashaka ikiwa utaridhiwa.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Lubega Emmanuel
Taarifa na Lubega Emmanuel
Uganda yatangaza kusambaa homa ya nyani
Uganda yatangaza kusambaa homa ya nyani
Uganda imetangaza ugonjwa wa mpox kusambaa kila sehemu katika taifa hilo na kuwata wananchi kutoa taarifa za wagonjwa.
Mwanamke machinga mpambanaji
Mwanamke machinga mpambanaji
Night Ampurire ni mkaazi wa Entebbe Uganda. Ana mtoto mchanga ila hilo halimzuii kupambana ili kuhakikisha kwamba anachangia sehemu yake ya kipato nyumbani kwake. Matikiti maji ndiyo biashara yake licha ya gari lake kuukuu.
Mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka, Kampala
Mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka, Kampala
Miili ya watu 24 imeopolewa tangu kulipotokea mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka katika mtaa mmoja jijini Kampala, Uganda mwishoni mwa wiki. Lakini wakaazi wanasema kuna maiti nyingi bado zimekwama chini ya taka hizo.
Jaa la taka laporomoka Kampala na kuuwa watu 23
Jaa la taka laporomoka Kampala na kuuwa watu 23
Kuligana na taarifa za serikali na shirika la Msalaba Mwekundu hadi watu elfu mbili wameathirika kutokana na mkasa huo.
Je, asasi za kiraia tishio kwa viongozi wa Afrika?
Je, asasi za kiraia tishio kwa viongozi wa Afrika?
Asasi za kirai zimekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha jamii inapata haki na serikali inawajibika.
Asasi za kiraia zapambana na ugaidi licha ya kushutumiwa
Asasi za kiraia zapambana na ugaidi licha ya kushutumiwa
Asasi za kiraia za kusini mwa jangwa la Sahara zinachangia kupambana na ufadhili wa ugaidi licha ya zenyewe kutuhumiwa.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo