Lumumba akizungumzia kimya cha AU juu ya Libya
1 Aprili 2011Matangazo
Rais wa Rwanda
Paul Kagame ameunga mkono mashambulio hayo wakati rais Jacob Zuma
wa Afrika Kusini ,Yoweri Museveni wa Uganda wakipinga hatua hiyo.Je
wachambuzi wa masuala ya kisiasa barani Afrika wanautazama vipi msimamo
huo wa viongozi wa Afrika.Patrick Lumumba ni mchambuzi wa masuala ya
kisiasa na pia mkuu wa tume ya kupambana na rushwa nchini Kenya
anazungumzia suala hilo katika mahojiano na Saumu Mwasimba.