Mizozo ya kikabila inaonekana kusababisha jamii tofauti katika jimbo la Marsabit kuwa mahasimu licha ya juhudi za serikali kukomesha mizozo ya kila mara ya kikabila. Mbiu ya Mnyonge inaangazia namna uhasama na vita vya kikabila vinavyochangia idadi kubwa ya watu kusalia wakimbizi wa ndani na pia maisha wanayoishi waathiriwa wa machafuko ya kikabila. Mtayarishaji ni Michael Kwena.