1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Machozi ya wanyonge wa Mombasa

Faiz Musa20 Februari 2020

Faiz Mussa akiwa mjini Mombasa, Kenya anaangazia shutuma za udhalimu unaofanywa na vyombo vya dola kwa kuwauwa watu wasio na hatia. Ripoti za mashirika ya kutetea haki za binadamu zinaonesha kwenye Kaunti sita za jimbo la Pwani kuna ongezeko la mauaji yaliyotekelezwa na maafisa wa polisi. Na familia za wahanga zinasaka haki isiyopatikana.

https://p.dw.com/p/3Y3bw