1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madaktari wasitisha mgomo Kisumu, Kenya

Musa Naviye30 Desemba 2019

Wakaazi wa jimbo la Kisumu Magharibi mwa Kenya wamepata afueni baada ya madaktari kusitisha mgomo wao kufuatia makubaliano kati ya muungano wa wahudumu hao wa afya na serikali ya jimbo hilo.

https://p.dw.com/p/3VUXh