1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Madereva wanawake wa gari za mizigo Ghana

Yusra Buwayhid
1 Mei 2019

Uendeshaji wa magari ya mizigo umezoeleka kama kazi ya wanaume, lakini nchini Ghana hali hiyo inabadilika. Payin Marfo, amefungua kampuni ya kwanza ya usafiri ambayo madereva wake wote wa magari ya mizigo ni wanawake

https://p.dw.com/p/3HltF