Wakati mapinduzi ya teknolojia yakiendelea kushuhudiwa, sasa ni katika sekta ya usafiri ambako huko Afrika mashariki Kenya magari yanayotumia umeme yanatumika huku serikali ikipunguza kodi ya uingizaji wa magari hayo nchini.Ungana na Sylvia Mwehuzi katika sema Uvume