1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano maalumu na Rais William Ruto wa Kenya

16 Septemba 2024

Idhaa ya Kiswahili ya DW imefanya mahojiano maalumu na Rais William Ruto wa Kenya yaliyogusia masuala kadhaa ikiwemo mkataba wa masuala ya ajira kati ya nchi yake na Ujerumani pamoja na hali ya kisiasa na kiuchumi kwenye taifa analoliongoza tangu Septemba 2022. Kwenye mahojiano hayo Ruto amesema hakuna serikali iliyowahi kutekeleza mikakati ya kuisadia Kenya kushinda anayoiongoza.

https://p.dw.com/p/4keJ5