1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Mahakama Kenya yakwamisha ubinafsishaji wa Ruto

6 Desemba 2023

Serikali ya Rais William Ruto nchini Kenya imekwaa kisiki katika mchakato wa ubinafsishaji mashirika ya umma unaokusudiwa kuboresha utendaji na kuongeza mapato ya serikali, baada ya mahakama kusitisha mchakato huo.

https://p.dw.com/p/4Zq0L