Mvutano baina ya Kongo na Rwanda tangu kuibuka upya kwa vita vya kundi la waasi la M23 unaelekea kugusa jukwaa za kimataifa. Kongo inataka Rwadwa ikosolewe kimataifa kwa madai ambayo Kigali inakanusha. Makala Yetu Leo inajadili hilo na mtayarishaji ni Saleh Mwanamilongo.