Somo la historia linasimulia uwepo wa vita vya kikoloni vilivyopiganwa mwaka 1905 na 1907 nchini Tanganyika ambayo kwa sasa ni Tanzania, vilivyojulikana kama vita vya maji maji. Makala yetu leo imezungumza na familia iliyompoteza ndugu yao katika vita hivyo.