1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makubaliano ya kusitisha vita Israel-Hamas kurefushwa?

Hawa Bihoga
27 Novemba 2023

Siku ya Jumatatu ni siku ya nne ya makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati ya Israel na Hamas huku awamu ya nne ya mabadilishano ya wafungwa na mateka ikifanyika leo. Je kuna matuamini ya kurefushwa kwa makubaliano?

https://p.dw.com/p/4ZUln