Kwenye kipindi cha Sema Uvume, Yusra Buwayhid anamulika namna ambavyo gharama ya vifurushi vya intaneti inawaumiza wengi hasa vijana wanaojaribu kutafuta ajira kule Afrika Kusini. Pia anaangia masuala kuhusu teknolojia nchini Ghana ambako kampuni moja imevumbua programu ya kutambua dawa bandia kupitia simu ya mkononi. Kwa mengine mengi, sikiliza makala