JamiiMambo ya kufanya ukiwa saluniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiBruce Amani18.04.201718 Aprili 2017Tunatumia muda mwingi tukiwa saluni kwa kinyozi ama kwa msusi. Mbali na kupiga stori na kuchat, ni mambo gani unayoweza kufanya kutumia muda huo vizuri? Bruce Amani ana majibu katika Vijana Mchakamchaka.https://p.dw.com/p/2bNJKMatangazo