1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maonyesho ya ITB yarejea baada ya kuahirishwa na Uviko-19

Daniel Gakuba
9 Machi 2023

Sekta ya usafiri inavuma tena duniani, baada ya kulemazwa na janga la Uviko-19 miaka mitatu iliyopita. Hali hiyo imedhihirika katika maonyesho ya kimataifa kuhusu usafiri ya mjini Berlin, Ujerumani, ambayo ndio makubwa zaidi duniani. #Kurunzi Ujerumani

https://p.dw.com/p/4ORLF