1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashirika yasiyo ya kiserikali yalalamikia ukiukaji wa haki za binadamu Kivu Kusini

Jean Noël Ba-Mweze
14 Aprili 2022

Mashirika zaidi ya thelathini yasiyo ya kiserikali nchini Kongo yamelaumu kuzorota kwa hali ya haki za binadamu katika jimbo la Ituri na Kivu Kaskazini, mikoa miwili iliyo chini ya utawala wa kijeshi tangu Mei 6, 2021. Mashirika hayo yameeleza wasiwasi wao katika barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Jean-Michel Sama Lukonde, wakati akifanya ziara ya kutathmini hali katika mikoa hiyo miwili.

https://p.dw.com/p/49xWG