Tuliyo nayo mchana huu: Boti ya kwanza ya walinzi wa pwani wa Italia iliyowabeba wahamiaji yawasili Valencia. Ugiriki na Macedonia zasaini makubaliano ya kihistoria kumaliza uhasama wa muda mrefu. Na Austria yaitaka Ujerumani kutoa ufafanuzi madai mapya ya upelelezi.