Serikali ya Uingereza yasema wapinzani wanaweza kubadilisha serikali au sheria iwapo inataka kuipinga. Wapiganaji wa kusini mwa Yemen wanaotakakujitenga waudhibiti mji wa Aden. Umoja wa Mataifa wapinga hatua ya kuwarejesha makwao wakimbizi wa Burundi.