1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaIsrael

Matangazo ya mchana ya DW Kiswahili: 23.12.2023

3 Desemba 2023

Jeshi la Israel limeamuru watu kuondoka kutoka maeneo zaidi ya mji wa Khan Younis, Uingereza inaiunga mkono Israel katika harakati zake za kuwatafuta mateka ambao bado wanashikiliwa na kundi la wanamgambo la Hamas na kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis awahimiza viongozi wa dunia kufanya kazi pamoja kukabiliana na janga la mabadiliko ya tabianchi

https://p.dw.com/p/4ZipS
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus und Matrix
Picha: Klaus Ohlenschläger/picture alliancePicha: Klaus Ohlenschläger/picture alliance

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Mchana, saa 7:00 (Afrika Mashariki)