1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mchekeshaji achangisha fedha kusaidia waathiriwa wa ukame

Babu Abdalla8 Machi 2023

Mchekeshaji Nasra Yusuf amechangisha zaidi ya shilingi nusu milioni ili kuwasaidia Wakenya wanaokabiliwa na baa la njaa katika maeneo kame nchini humo. Bi. Nasra ametumia nafasi yake kama kioo cha jamii kuhamasisha wenzake juu ya umuhimu wa kuwasaidia watu wasiojiweza hasa wanawake katika wakati ambapo Ulimwengu unaadhamisha siku ya wanawake.

https://p.dw.com/p/4OPO7