Je, ushawahi kula chakula chako katika mgahawa ambao wahudumu wake hawana uwezo wa kusikia? Utaagiza chakula vipi na wakati wa malipo itakuaje mawasiliano yote? Sikiliza makala iliyoandaliwa na Thelma Mwadzaya kuhusu mgawaha wa aina hiyo unaoitwa Pallate jijini Nairobi.