TeknolojiaMgogoro kati ya Google na Huawei unaithiri vipi biashara Tanzania?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojia12.06.201912 Juni 2019Kampuni ya Google imetishia kufunga matumizi ya huduma zake kwa kampuni ya simu ya China ya Huaewi. Watumiaji na wafanya biashara wa vifaa vya teknolojia vya Huawei wanasemaje nchini Tanzania juu ya mzozo huo? https://p.dw.com/p/3KIEfMatangazo