1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miguna awekwa kizuizini Kenya

27 Machi 2018

Serikali ya Kenya imemuweka kizuizini mwanasiasa wa upinzani Miguna Miguna mwenye uraia wa Canada na yataka kumrejesha alipotoka kwa mara nyingine, licha ya amri ya mahakama kumruhusu kuingia nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/2v4Da

Dw ilizungumza na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Nairobi, Herman Manyora, kutaka kujuwa Wakenya wanalizungumziaje tukio hilo?