Matangazo
Suala la kujitenga kwa ukanda huo wa Pwani limezua mjadala mkubwa sio tu katika ukanda huo bali taifa la Kenya kwa Ujumla., Hii si mara ya Kwanza, gumzo kama hilo kuyumbisha siasa za taifa hilo. Je safari hii mjadala huu utachukua muelekeo gani?