Katika karibuni tunakupeleka nchini Burundi ukamjue kungwi maarufu kutoka mtaa wa Bunyezi aliyebobea kuwafunda wari na wasichana waliokuwa. Utamaduni huu anasema umeshika mizizi katika mitaa ya uswahilini Burundi na huko Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo.Pamoja na hayo utasakata rumba kuukaribisha mwaka 2021 katika kipindi hiki kinachoongozwa na Saumu Mwasimba