Nchini Kenya mkutano baina ya rais William Ruto na mtangulizi wake Uhuru Kenya, umezua gumzo hasa wakati huu ambapo serikali ya rais William Ruto inaklabiliwa na shinikizo kubwa ikitakiwa kuitangaza tume mpya ya uchaguzi. Kuhusu mkutano huo, Saumu Mwasimba amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya Dtk Alutalala Mukwana.