Mkutano wa BRICS wafanyika Afrika Kusini
26 Machi 2013Matangazo
Mkutano unaoyaleta pamoja mataifa matano yanayoibuka kuwa nguvu kubwa ya kiuchumi Brazil,Urusi,India China na Afrika Kusini yanayojulikana kama BRICS, unaanza leo nchini Afrika kusini huku viongozi wa matifa hayo wakitarajiwa kujadili masuala ya kiuchumi yatakayoupa muungano huo nguvu zaidi . Caro Robi amezungumza na mwanauchumi Ali Mutasa na kwanza alimuuliza kundi hilo la BRICS lina uzito gani katika uchumi wa Dunia? Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Mwandsishi: Caro Robi
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman