SiasaMlipuko wa mabomu Uturuki waua watatu Papo kwa Papo 18.08.2016To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa18.08.201618 Agosti 2016Mlipuko wa bomu waua watu kadhaa na kujeruhi zaidi ya 100 Uturuki. Australia yakubali kukifunga kituo cha waomba hifadhi kilichoko katika kisiwa cha Manus, Papua New Guinea na makamu wa zamani wa rais Riek Machar aondoka Sudan Kusini.https://p.dw.com/p/1Jl0CMatangazo