Shilingi bilioni 63 za ujenzi wa mabwawa mawili ya kaunti ya Elgeyo Marakwet, Kenya, hazijulikani zilipo na mabwawa hayo yakiwa hayajajengwa. Kampuni kadhaa za watu mashuhuru nchini humo zinatajwa kuhusika na mkasa huo.
https://p.dw.com/p/3EEwm
Matangazo
DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Kenya Herman Manyora kutaka kujua iwapo Tume ya Kupambana na Ufisadi nchini humo imelemewa na mzigo?