JamiiMjadala kuhusu umri wa 'kula tunda' KenyaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiJosephat Charo11.06.201911 Juni 2019Walimu wakuu wa shule za sekondari nchini Kenya sasa wanapendekeza kuwa umri ambao wasichana wanastahili kuanza kushiriki tendo la ndoa kwa ridhaa yao uwe miaka 20.https://p.dw.com/p/3KBTmMatangazo