MichezoAfrikaMsitutenge, nasi tuna uwezoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMichezoAfrikaLilian Mtono18.11.202218 Novemba 2022Michezo ni kwa wote ali mradi anao uwezo wa kushiriki kwa namna moja ama nyingine. Lakini inasikitisha kwa sababu baadhi ya mamlaka huwaweka kando hata kama wanaonyesha uwezo kwenye michezo husika. Tizama video hii, kisha tupe mtizamo wako. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/4JkryMatangazo