Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP, inaonyesha kuwa uchafuzi wa mazingira utokanao na kelele una madhara makubwa kwa afya ya mwanadamu na viumbe wengine. Makala ya Mtu na Mazingira wikii hii inaangazia uchafuzi wa mazingira utokanao na kelele katika miji, hasa barani Afrika na juhudi za kupunguza athari zake.