1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano kati ya Rwanda, Uganda na Burundi, kulikoni?

Josephat Charo Nyiro/MMT30 Januari 2019

Mbele ya meza ya duara, kipindi cha Maoni kinaangazia mvutano uliopo kati ya Rwanda, Burundi na Uganda pamoja na ushirkiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mwendesha kipindi ni Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/3CQQk