1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvutano waongezeka NASA na Jubilee

16 Februari 2018

Ni baada ya chama tawala cha Jubilee kushikilia kuwa kina haki ya kulalamikia utendaji wa idara ya mahakama. Upinzani unaoongozwa na NASA unaituhumu serikali kuu kwa kuimaliza nguvu idara ya mahakama.

https://p.dw.com/p/2snI5
Raila Odinga
Picha: picture-alliance/Anadolu Agency/B. Jaybee

J2 1602 Kenya political Wrap up - MP3-Stereo