JamiiKenyaMwanamke fundi umeme anayebeba matumaini ya wasichanaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiKenyaFathiya Omar18.12.202418 Desemba 2024Kazi ni Kazi. Tizama jinsi binti huyu mwenye umri wa miaka 27, anavyopuuza vizingiti, mila na mitizamo ya wengi katika kufanikisha taaluma yake mjini Mombasa, Kenya.https://p.dw.com/p/4oIOzMatangazo