1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroLebanon

Mzozo kati ya Israel na Hezbollah wapamba moto

25 Septemba 2024

Lebanon imesema watu watatu wameuawa kufuatia shambulizi la Israel katika kijiji cha Maaysra katika wilaya ya Keserwan kaskazini mwa mji mkuu Beirut. Kwa upande wake, kundi la Hezbollah limesema limefyetua kombora la masafa marefu kuyalenga makao makuu ya idara ya ujasusi ya Israel, Mossad, karibu na mji wa Tel Aviv.

https://p.dw.com/p/4l4r1
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio