1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo kati ya Uturuki na Ugiriki na juhudi za kuusuluhisha

Iddi Ismail Ssessanga8 Septemba 2020

https://p.dw.com/p/3i8j9

Katika makala hii ya Mwangaza wa Ulaya wiki hii, tunaagazia mzozo kati ya Uturuki na Ugiriki, pamoja na juhudi za washirika kuutatua. Uturuki imeendeleza mzozo wake na Ugiriki kwa kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la mashariki mwa bahari ya Mediterrania linalozozaniwa kati ya Ankara na Athens. Hii ilifuatia hatua ya Ugiriki kupeleka wanajeshi kweyne kisiwa kilicho karibu na Uturuki. Uendelezaji huo wa mzozo kati ya mahasimu hao wa kihistoria unachochewa na ugunduzi wa gesi asili katika eneo hilo. Iddi Ssessanga na mengi zaidi.