Naibu Jaji Mkuu Kenya akamatwa
29 Agosti 2018Matangazo
Mwilu alitiwa nguvuni punde tu baada ya kuhudhuria kikao kilichoandaliwa na tume ya kuajiri wafanyakazi wa idara ya mahakama. Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji amesema kuwa wana ushahidi wa kutosha wa kumfungulia mashataka jaji huyo.