1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nini kinakuvutia au kukukera katika mji unaoishi?

2 Februari 2018

Vijana Mubashara, 77% inazungumza na vijana kufahamu nini kinawapa fahari kuishi katika miji yao. Je ni mbuga za wanyama, vivutio vya utalii? Usafi? au ikiwa kuna kinachowakera. Ungana naye Saumu Mwasimba katika makala hii.

https://p.dw.com/p/2s0CK