Teknolijia inavyotumiwa na Wakenya katika harakati za kupambana na nzige linalotishia baa la njaa katika baadhi ya maeneo huko Afrika Mashariki. Lakini huko Ghana pia kumezinduliwa App mpya inyowafuatilia wakataji haramu wa miti. Sikiliza makala ya Sema Uvume kujielimisha zaidi.