SiasaOngezeko la mashambulizi dhidi ya wanasiasa UjerumaniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAngela Mdungu14.05.202414 Mei 2024Kumekuwa na ongezeko la mashambulizi dhidi ya wanasiasa nchini Ujerumani. Wanasiasa hao wamekuwa wakikumbana na vipigo, matusi, kuchafuliwa na hata kutishiwa vifo. https://p.dw.com/p/4fqRfMatangazo